Thursday, February 14, 2013

Hebu cheki:: Shy-Rose Bhanji akionyesha uso wa hasira huku akitulizwa kufuatia tafrani kati yake na mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT), Sophia Simba.


Shy-Rose Bhanji, (Kulia), akionyesha uso wa hasira huku akitulizwa na mjumbe mwenzake, kufuatia tafrani kati yake na mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT), Sophia Simba.Ilikuwa mwaka jana.chanzo:globalpublishers.info.Pia unaweza kusoma....http//Wwwmasterkif.blogspot.com

1 comment:

Anonymous said...

Mimi Shyrose nampenda sana ni mtu wa watu tofauti na hilo ngurumbenge la ccm, yupo kichama zaidi mtu anauliza mambo ya msingi alafu anazomewa kwa lipi mimi ndiyo maana naichukia ccm mpaka kufa kwangu ni washenzi sana mtu kama sophia simba mama mtu mzima waziri alafu unazungumza utumbo kuna kitu hapo kweli, na nyie wanaccm si jawahi ona wajinga kama nyie sophia simba mtu ambae siku zote hana kauli nzuri bado mnaridhika nae